Fomu ya Tathmini ya Katibu wa Bodi

Fomu hii inalenga kutathmini utendaji wa Katibu wa Bodi katika kuratibu shughuli za Bodi, kutoa ushauri wa kitaalamu kuhusu utawala bora, kuhifadhi kumbukumbu na kuhakikisha utekelezaji wa maamuzi ya Bodi.

1 Taarifa za Msingi
2 SEHEMU A: Maandalizi ya Mikutano
3 SEHEMU B: Kumbukumbu na Nyaraka
4 SEHEMU C: Ushauri wa Kitaalamu
5 SEHEMU D: Utekelezaji wa Maamuzi
6 SEHEMU E: Huduma kwa Bodi
7 Maoni ya Jumla

Hatua 1 kati ya 7

Taarifa za Msingi

SEHEMU A: Maandalizi ya Mikutano

1 Hafifu2 Chini ya Wastani3 Wastani4 Bora5 Bora Sana

1. Hutuma taarifa za mikutano kwa wakati

2. Husambaza nyaraka mapema

3. Huandaa ajenda kwa usahihi

4. Huratibu mikutano kwa ufanisi

SEHEMU B: Kumbukumbu na Nyaraka

1 Hafifu2 Chini ya Wastani3 Wastani4 Bora5 Bora Sana

1. Huandika kumbukumbu sahihi za mikutano

2. Hutoa kumbukumbu kwa wakati

3. Huhifadhi nyaraka kwa usalama

4. Huweka taarifa za Bodi kwa usiri

SEHEMU C: Ushauri wa Kitaalamu

1 Hafifu2 Chini ya Wastani3 Wastani4 Bora5 Bora Sana

1. Hutoa ushauri kuhusu utawala bora

2. Hushauri kuhusu Katiba na Kanuni

3. Huhakikisha taratibu zinafuatwa

4. Hutoa taarifa muhimu kwa Bodi kwa wakati

SEHEMU D: Utekelezaji wa Maamuzi

1 Hafifu2 Chini ya Wastani3 Wastani4 Bora5 Bora Sana

1. Hufuatilia utekelezaji wa maamuzi ya Bodi

2. Hutoa mrejesho wa utekelezaji

3. Huratibu mawasiliano kati ya Bodi na Menejimenti

4. Hushughulikia mawasiliano kwa ufanisi

SEHEMU E: Huduma kwa Bodi

1 Hafifu2 Chini ya Wastani3 Wastani4 Bora5 Bora Sana

1. Hutoa huduma kwa weledi

2. Huwasiliana vizuri na wajumbe

3. Hutatua changamoto kwa wakati

4. Anaonyesha uadilifu na uwajibikaji

Maoni ya Jumla